huyo wa VW ameokota garasa. nissan na toyota ni bingo kwa nchi za kiafrika, kwa bei na uimara kulingana na barabara zetu. Uganda wanatengeneza magari yao niliona (mabasi na wanayatumia tayari, ni innovation ya kiganda, sio imported innovation).Kwanza tunawashukuru Nissan kuja kufungua kiwanda cha magari Tanzania. Sasa ukitaka Toyota nenda kanunue Kenya maana huko nasikia Toyota wamefungua/wanafungua kiwanda. Ukitaka VW nenda Rwanda maana huko tayari kiwanda kipo.
Ila Nissan, Tanzania ndio zitakuwa zinaundwa.
Nasikia hata hao VW walitaka kufungua kiwanda Tanzania, sijui tulikwama wapi???
Sasa, tusikwame tena kwa hawa jamaa wa Nissan.
VW walikimbizwa na sera za uwekezaji zisizoeleweka za mwendazake.Kwanza tunawashukuru Nissan kuja kufungua kiwanda cha magari Tanzania. Sasa ukitaka Toyota nenda kanunue Kenya maana huko nasikia Toyota wamefungua/wanafungua kiwanda. Ukitaka VW nenda Rwanda maana huko tayari kiwanda kipo.
Ila Nissan, Tanzania ndio zitakuwa zinaundwa.
Nasikia hata hao VW walitaka kufungua kiwanda Tanzania, sijui tulikwama wapi???
Sasa, tusikwame tena kwa hawa jamaa wa Nissan.
lakini walikula hasara sana kwenda kuwekeza kwenye landlocked country, tumshukuru Mungu kwa kutupatia nchi yenye bahari, huwezi kulijua hilo hadi utakapokuwa landlocked. RWanda angekuwa na access ya bahari hayo magari angesafirisha kwa bahari na kuuza nchi nyingi tu za ukanda wa bahari au zenye mlango wa ukanda wa bahari. kwasababu ni landlocked, ataishia tu kuuza Congo DRC, Tanzania n.k, akitaka kutumia bahari atalipia bandarini na gharama ya icho anachotengeneza/assemble itaongezeka.the same applies kwenye assembling materials yanayotoka nje kuja kwenye kiwanda chao.Mungu ibariki Tanzania.VW walikimbizwa na sera za uwekezaji zisizoeleweka za mwendazake.
Huyo huyo akaribishe wawekezaji, huyohuyo awaite mafisadi, wapiga dili na mabeberu.
Huyo huyo akamate wawekezaji, afungie account zao, awafilisi kwa sheria dhalimu ya plea bargaining ahhhh.....
Hela yangu initese? Hata mimi ningesepa
Vw ina soko zuri nchi zinazozungumza kifaransa. Drc, brazaville, gabon, urundi na majirani atauza tu. Ni gari za stareheno na hizo jamaa kupitia asimille doit policy wamelewa starehe na hawapendi dharau ndogo ndogo kuanzia maisha ta majumbani, elimu, mavazi, usafiri, sherehe nk. Tunaokaa jirani nao tuna mengi ya kueleza.huyo wa VW ameokota garasa. nissan na toyota ni bingo kwa nchi za kiafrika, kwa bei na uimara kulingana na barabara zetu. Uganda wanatengeneza magari yao niliona (mabasi na wanayatumia tayari, ni innovation ya kiganda, sio imported innovation).
Hivyo siyo viwanda ni garage zilizo changamkaKwanza tunawashukuru Nissan kuja kufungua kiwanda cha magari Tanzania. Sasa ukitaka Toyota nenda kanunue Kenya maana huko nasikia Toyota wamefungua/wanafungua kiwanda. Ukitaka VW nenda Rwanda maana huko tayari kiwanda kipo.
Ila Nissan, Tanzania ndio zitakuwa zinaundwa.
Nasikia hata hao VW walitaka kufungua kiwanda Tanzania, sijui tulikwama wapi???
Sasa, tusikwame tena kwa hawa jamaa wa Nissan.
Uoga wako tu. Spare inakuwa gharama ila unafunga unasahau mwaka mzima pengine miaka miwili.Nissan mambo yao yana gharama...
Ngoja tuone...
Gari gani ya kawaida ambayo spear unanunua mara tatu Kwa mwaka...Uoga wako tu. Spare inakuwa gharama ila unafunga unasahau mwaka mzima pengine miaka miwili.
Gari ya kawaida unafunga kwa mwaka unaweza nunua hata mara tatu miaka miwili umenunua mara sita ukijumlisha cost unakuta umelipia mara kumi zaidi ya niliyonunua mimi hapo sijaplus bei ya fundi kukufungia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitajie tu spare ya kawaida ambayo huwa inaisha na inatakiwa kuwa renewed kwa kununua mara kwa mara halafu tucompare nakupa gari ya kucompare nayo. Nissan Dualis. Nipe gari yako ya choice then twende kwenye service halafu tuone....!Gari gani ya kawaida ambayo spear unanunua mara tatu Kwa mwaka...
Msipemde kununua magari mabovu...
Hiyo ni fourth hand au scrap...
Assimilation policy + starehe Vs VW mbona hamna uhusiano?Vw ina soko zuri nchi zinazozungumza kifaransa. Drc, brazaville, gabon, urundi na majirani atauza tu. Ni gari za stareheno na hizo jamaa kupitia asimille doit policy wamelewa starehe na hawapendi dharau ndogo ndogo kuanzia maisha ta majumbani, elimu, mavazi, usafiri, sherehe nk. Tunaokaa jirani nao tuna mengi ya kueleza.
Pia Mr. Kagame asingeruhusu kuwekeza kwenye mradi usiolipa.