Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo mkoa gani?.Wakuu Habari za ijumaa
Nina gari aina ya nissan teana sasa kuna taa ya check engine inawaka kwenye dashboard na nilipeleka garage wakasema ni mwage oil and I did but bado ile taa inawaka je shida inaweza kuwa ni nn?
Chukua huu ushauri....Weka vipimo kwenye gari shida itakwishaUpo mkoa gani?.
Nakushauri tafuta garage ambayo ina diagnosis tool wakuchekie hio gari. Ukipeleka garage ya uswazi watakuaribia gari na kukulia ela.
In short gari yako ina tatizo la sensor. Kujua ni sensor gani imeharibika inabidi utumie hiyo diagnosis tool.
Upo mkoa gani?.
Nakushauri tafuta garage ambayo ina diagnosis tool wakuchekie hio gari. Ukipeleka garage ya uswazi watakuaribia gari na kukulia ela.
In short gari yako ina tatizo la sensor. Kujua ni sensor gani imeharibika inabidi utumie hiyo diagnosis tool.
Mnaweza kununua magari ya milion zaidi ya 10 mnashindwaje kuagiza code reader ya laki na nusu kwaajili ya kupimia gari zenu.mkija hapa tunakuwa tunaongea lugha moja na sio blablabla hizi..iwe ni gari yangu aina flani inanisomea fault hii P0123 je inamaanisha nn au crack sensor ipo sehem ganiThank you I will do that as soon as possible maana now limeanza na tabia ya kuzimika tu likiwa barabarani
Nahisi itakuwa ni crankshaft position sensor imekufa. Ungekuwa Mwanza ningekuunganisha na dogo mwenye kifaa cha kuangalia.Thank you I will do that as soon as possible maana now limeanza na tabia ya kuzimika tu likiwa barabarani
Haiwezi kutokea hivyo hata siku moja..magari hayapigiwi ramli hata siku moja ..Nahisi itakuwa ni crankshaft position sensor imekufa. Ungekuwa Mwanza ningekuunganisha na dogo mwenye kifaa cha kuangalia.
Ila chukua hatua ASAP. Maana unaweza kuta upo speed120 then inazima ghafla. Kama ujuavyo gari ikizima ghafla inapoteza uelekeo wa steering na brake. Ukisema utumie end break tunakukuta mtaroni.
Kwa mafundi katika kufanya troubleshooting ya kutatua tatizo huwa inatumika kama ramli. Huwa tatizo halikaririwi. Mfano gari ikichemsha wazo linaweza kukujia kuwa maji yamepungua. Ukiangalia level ya maji ukakuta ipo sawa then unatoa air lock kwenye system ya maji. Tatizo likiendelea unaangalia kama radiator fan inafanya kazi?. Kama nayo ipo sawa unaangalia kama kuna blockage kwenye system. So tatizo moja linaweza kuwa na option nyingi kwenye kutatua.Haiwezi kutokea hivyo hata siku moja..magari hayapigiwi ramli hata siku moja ..
Hahahahaha na mm pia ninesema hivyo mkuu coz nafaham na mashine pia yakupimia ninayo na mm nimesema hivyo sio kwamba nimekariri hapana..ni kwamba gari yenye shida ya sensor hasa crank shaft sensor huwa na dalili zifuatazo kwanza hard start pili rough idling na gari kuto waka kabisaaa.Kwa mafundi katika kufanya troubleshooting ya kutatua tatizo huwa inatumika kama ramli. Huwa tatizo halikaririwi. Mfano gari ikichemsha wazo linaweza kukujia kuwa maji yamepungua. Ukiangalia level ya maji ukakuta ipo sawa then unatoa air lock kwenye system ya maji. Tatizo likiendelea unaangalia kama radiator fan inafanya kazi?. Kama nayo ipo sawa unaangalia kama kuna blockage kwenye system. So tatizo moja linaweza kuwa na option nyingi kwenye kutatua.
Kwa hiyo ndugu yangu kama wewe ni fundi wa kukariri tatizo moja basi wewe ndio wale mafundi makanjanja.
Pia kumbuka nlitumia neno “Kuhisi crankshaft position sensor kuharibika”. Nimehisi hivyo kwani sensor husika ikiharibika gari huzima ghafla ikiwa on. Japo inaweza kuwa ni issue nyingine.
Ndio maana nimemshauri atafute fundi mwenye diagnosis kit amsaidie. Maana hata hiyo alarm kutoka mpaka iwe acknowledge na kit.