Nissan teana

ngoroki

Senior Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
153
Reaction score
114
Naombeni ushauri,nataka kununua gari Nissan teana ila mimi sina ujuzi wowote na magari ni kitu gani cha kuangalia kabla ya kununua?
 
Vitu ya kuangalia ktk kununua gari ni
-mahitaji yako binafsi
-upatikanaji wa spare
-ulaji wa mafuta
-mafundi wapo iwapo likiharibika
-uimara wa gari kwa ujumla wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…