passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Sahihi boss, nilikoseaWadanganye kwenu, iyo ni Nissani TIIDA hamna Toyota TIIDA.
Dotto magari na Issa Tambuu msidhani mpo pekee yenu kwenye hii field.Habari za uzima?
Toyota TIDA NAMBA EFU MILIONI 16
Gari bado ni mpya kabisa.
Kwa mawasiliano zaidi karibu PM.
Mods muko wapi? Kuna kichwa huku!Mleta mada mbona unaweka picha za nje tu ya gari??
Unashindwa hata na malaya wanaonyesha maungo yao ya ndani wakati wa kuuza papuchi zao??
Au wewe ni dalali lakini sio smart?
Unauza gari ambayo hata wewe mwenyewe huijui??Habari za uzima?
Toyota TIDA NAMBA EFU MILIONI 16
Gari bado ni mpya kabisa.
Kwa mawasiliano zaidi karibu PM.
Dalali wakukurupuka.Sahihi boss, nilikosea
Dalali wa vyumba huyo.Unauza gari ambayo hata wewe mwenyewe huijui??