Nissan wafanya kufuru, waunda injini yenye uzito wa kilo 40, ina piston 3, zenye kuzalisha horsepower 400

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Nissan creates a small engine weighing 40kg.
It's a 3 cylinder block that produces 400 horsepower.

FB_IMG_17298164980831804.jpg
 
Watanzania tunawaza namna tutakavyoiba Kura, namna ya kuandikisha watoto wadogo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, namna tutakavyoiba na kuhujumu mapato ya serikali.

Tunawaza vumbi la Congo, bata, totoz na nyama choma.

Tunawaza jinsi Mwenge unavyoleta amani kwa kuwazungushia mabwege Moshi wa kichawi.

Tunawaza kwamba bila kuwa chawa hutoboi, hizo akili bunifu tutazipata wapi?

ccm inafuraha kuona wote nchi nzima tukiwa na akili za Lucas Mwashambwa, si akili za kuhoji, kudadisi na kukemea uovu serikalini, bali akili za kusifia kila kitu.
 
Tangangika tutaweza lini kutengeneza engine? Hata ya kumwagilia maji tu tuinue kilimo
Nchi ya watu wafu. CCM badala ya kutengeneza think tanks, inawaua, inawateka, inawatesa, inafurahi kuona taifa likiwa na mazombie yasiyo hoji wala kudadisi.

ccm inaamini mapinduzi ya uchumi, teknolojia, viwanja, kilima, na elimu sio jukumu lake
 
Watanzania tunawaza namna tutakavyoiba Kura, namna ya kuandikisha watoto wadogo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, namna tutakavyoiba na kuhujumu mapato ya serikali.

Tunawaza vumbi la Congo, bata, totoz na nyama choma.

Tunawaza jinsi Mwenge unavyoleta amani kwa kuwazungushia mabwege Moshi wa kichawi.

Tunawaza kwamba bila kuwa chawa hutoboi, hizo akili bunifu tutazipata wapi?

ccm inafuraha kuona wote nchi nzima tukiwa na akili za Lucas Mwashambwa, si akili za kuhoji, kudadisi na kukemea uovu serikalini, bali akili za kusifia kila kitu.
Tunawaza na kuona kwamba kundi furani ndio lenye haki au hatimiliki ya kutawala nchi,wakitokea wengine wenye mawazo tofauti wana tekwa na kuuliwa.
 
Back
Top Bottom