Nissan Wingroad S/W inauzwa.

The Analyst

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
464
Reaction score
246


2003 Nissan Wingroad Station Wagon 1.5L (1497cc) Rangi: Silver. Transmission: AutomaticGari ni nzima kama mpya na kila kifaa chake kinafanya kazi inavyopaswa. Ipo Zanzibar kwa sasa na bei ni nzuri kwa atakayeihitaji (Sh. Milioni 6.8). Ni nzuri sana kwa matumizi ya familia. Tafadhali mtafute muuzaji kwa namba 0713-269517 kwa maelezo zaidi.
 


mzazi kama kuna pikipiki XLR inauzwa naomba unijuze hiyo ndiyo ninayo itaka mimi.
 
ungeweka bei ingependeza sana
 
mkuu bei yake? picha ya gari inaonyesha kitu imesimamia ukucha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…