BARA BARA YA 5 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,174 Reaction score 835 Jun 5, 2015 #1 Nauza Nissan Xtrail ya mwaka 2002,imeingizwa nchini hivi karibuni na imefanyiwa service mara 1 tu kwa genuine parts na Oil, iko katika hali nzuri kabisa, kwa sasa ipo Moshi. Bei 14.8m Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane 0715 488 421 Attachments IMG_20150603_112345.jpg 363.1 KB · Views: 227 IMG_20150603_112407.jpg 485.2 KB · Views: 205 IMG_20150603_112422.jpg 412 KB · Views: 199 IMG_20150603_112437.jpg 484.5 KB · Views: 205 IMG_20150603_112512.jpg 323.6 KB · Views: 180
Nauza Nissan Xtrail ya mwaka 2002,imeingizwa nchini hivi karibuni na imefanyiwa service mara 1 tu kwa genuine parts na Oil, iko katika hali nzuri kabisa, kwa sasa ipo Moshi. Bei 14.8m Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane 0715 488 421
CCA JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 396 Reaction score 189 Jun 5, 2015 #2 Mkuu 10m haiendi?
BARA BARA YA 5 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,174 Reaction score 835 Jun 5, 2015 Thread starter #3 Mkuu umeshusha sana??14m mkuu tunaweza fanya deal done!!
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Jun 5, 2015 #4 Pia nissan patrol milango 5 linauzwa mil7 0715378899
namwakalima JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 458 Reaction score 260 Jun 5, 2015 #5 prince mrisho com said: Pia nissan patrol milango 5 linauzwa mil7 0715378899 Click to expand... Anzisha tangazo/uzi wako,mbona unadandia gari kwa mbele?
prince mrisho com said: Pia nissan patrol milango 5 linauzwa mil7 0715378899 Click to expand... Anzisha tangazo/uzi wako,mbona unadandia gari kwa mbele?