Nissan X-Trail; Ford Escape; Mazda Tribute au Honda CRV

Nissan X-Trail; Ford Escape; Mazda Tribute au Honda CRV

JMF

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
1,758
Reaction score
2,770
Salaam wakuu. Nina options za kuchukua mojawapo ya gari tajwa hapo juu au SUBARU FORESTER baada ya kusumbuana sana na mama watoto kwani tuna gari moja ambayo ndo naitumia kwa shughuli zangu za kwenda kwenye miradi yangu huko kisarawe. Nalazimika kumpeleka kazini ndipo niende kwenye shughuli zangu hivyo hii hali nimeichoka na naona bora nimwachiae Mark II ninunue gari iliyonyanyuka juu kidogo na iliyopo ndani ya bajeti yangu kutokana na adha ya barabara ninazopita kwenye mizunguko yangu. Gari zote hapo juu ni za mwaka 2008 na engine ni cc 2000-2500. Naombeni ushauri kwa mliowahi kuzimiliki, mnaofahamu changamoto zake kama spare, service n.k Asanteni.
 
xtrail nissan ckushaur kbsaaa... kuna rafik yangu anayo inamsumbua sana
 
Bado amna gari ninayoweza kukushauri kutokana na hizo ulizoposti hapo juu, kama wrwe ni mtu wa miradi nakushauri ongeza ela ununue Hilux dauble cabin yenye engine ya 2L
 
Back
Top Bottom