Dalali Dar es Salaam
Member
- Apr 2, 2019
- 16
- 17
😒😒Vp mkuu inamatatizo gani?.Hyo ngoma ukiona inauzwa ujue inauzwa kweli
Una maana gani mkuu sijakuelewa?Hyo ngoma ukiona inauzwa ujue inauzwa kweli
Hyo ngoma ukiona inauzwa ujue inauzwa kweli
Mkuu usiongelee madaraja...unawachoma watu humu ndaniNdinga nzuri ila vyuma ngoja waje walio pandishwa madaraja.
Nothing wakuu..sijamaanisha chochote
Ndinga nzuri ila vyuma ngoja waje walio pandishwa madaraja.
Kwa Dar bora kuwa na hii kuliko istMbona Bei ya IST
Kwa Dar bora kuwa na hii kuliko ist
Muulize BashiteKwan IST zinaishu gani
Sasa nitamuulizaje, km una taarifa si uandike tu na mie nieleweMuulize Bashite
Ist unaonekana umehongwaKwanini boss