Mnanipa mtihani sana wadau. Sio wote JF ni mahala petu pa kutembelea muda wote ndo maana nikaweka namba. Nia yangu sio mbaya ya kusema ambae yupo interested achukue namba yangu aniulize direct ila najua mtu anaweza akawa yuko interested na anaitaka urgently akauliza swali alafu mimi nisiingie JF kwa masaa au siku kadhaa akawa amekwama na mimi nimekwama. Ndo maana natoa namba na nasisitiza ambae yuko interested achukue namba.
Pia hii inasaidia kukuta text chache zenye maana coz unaweza kuta thread yako imevamiwa na warembo wa MMU wanauliza maswali ya kishost hapa na kukenua kenua meno tu. Kama sisi tunaoingia JF kwa mbinde ukija kuingia JF unakuta thread imeshakuwa na page 5 mpaka unashindwa kuchambua ipi ya mteja ipi ya shangingi. Sorry kama nawakwaza.
Back to ur question ukitaka niilete mwenyewe hapa Dar nitauza kwa 15M. Nasisitiza tena kama upo serious nichek kwa namba yangu twende sawa smoothly mkuu. Be blessed