Si mabovu kama unavyosema ni gari nzuri tu na pia hazina shida kabisa, ughali wa spare part ya nissan mara nyingi hukutani na za magumashi,
na ukishavalisha kipuli unauhakika na kuwa nacho kwa muda flani, tofauti na za toyota unaweza ukanunua shockup ya toyota na ukaibadilisha tena ili hali mwenye ya nissan bado haijazingua, Nissan extrail nadhani walishawahi kuzifanyia testing hizi gari africa tena tanzania kabla hawajazileta huku--kuna dealers wao wako balabala ya nyerere nadhani wanafanya service za nissan go and see them.....