Nissan X-trail new model

Nissan X-trail new model

Joined
Sep 3, 2011
Posts
48
Reaction score
17
xtrail new model Bei 15.5 Million

78,000 KM
Petrol Engine
1990cc

1 owner ,

the car has been well taken care of.

Call 0762 53 578

WhatsApp Image 2019-12-26 at 19.14.46 (1).jpeg
WhatsApp Image 2019-12-26 at 19.14.46 (1).jpeg
WhatsApp Image 2019-12-26 at 19.14.46.jpeg
17.jpg
14.jpg
11.jpg
9.jpg
5.jpg
2.jpg
WhatsApp Image 2019-12-26 at 19.14.46 (1).jpeg
 
Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo,

Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara.

Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa kuzingatia vigezo vya kuweka matangazo yao hivyo kupelekea matangazo yao kuondolewa hewani.

Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;

  1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
  2. Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
  3. Taja bei
  4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.
  5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
  6. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.

Kuna baadhi ya matangazo hayaruhusiwi kabisa JamiiForums. Mfano matangazo ya kurasa za Blogs, Facebook, Instagram, Twitter au mtandao wowote yataondolewa mara moja.

NB: Matangazo yote yakae Jukwaa la Matangazo.
 
Anyway, kwanza hakuna BP Tanzania lakini sio kweli inachagua mafuta hivyo
Nime drive huo mpira mkuu nikaamua kuuza manake nilikua nawaza siku nikienda mkoani itakuwaje manake iliwai kuzingua siku moja kisa niliweka mafuta kwenye shell hizi zisizo na jina.
 
Nime drive huo mpira mkuu nikaamua kuuza manake nilikua nawaza siku nikienda mkoani itakuwaje manake iliwai kuzingua siku moja kisa niliweka mafuta kwenye shell hizi zisizo na jina.
Nadhani ulikutana na wanaochakachua mafuta. Hiyo gari mie sijawahi kujuta. Pia uchakachuaji mafuta umepungua sana
 
Nime drive huo mpira mkuu nikaamua kuuza manake nilikua nawaza siku nikienda mkoani itakuwaje manake iliwai kuzingua siku moja kisa niliweka mafuta kwenye shell hizi zisizo na jina.
Mpira wako ulikua old model au new
 
Back
Top Bottom