ElectronicSalim
Member
- Sep 3, 2011
- 48
- 17
Xtrail chembe cha moyo
zinachagua mafuta sanaIna kisanga gani?
zinachagua mafuta sana
Mafuta ukiweka sheli za kizembe linakuzimikia njiani linataka sana wese la BP lisilo na magumashiMafuta or Oil?
Anyway, kwanza hakuna BP Tanzania lakini sio kweli inachagua mafuta hivyoMafuta ukiweka sheli za kizembe linakuzimikia njiani linataka sana wese la BP lisilo na magumashi
Nime drive huo mpira mkuu nikaamua kuuza manake nilikua nawaza siku nikienda mkoani itakuwaje manake iliwai kuzingua siku moja kisa niliweka mafuta kwenye shell hizi zisizo na jina.Anyway, kwanza hakuna BP Tanzania lakini sio kweli inachagua mafuta hivyo
Nadhani ulikutana na wanaochakachua mafuta. Hiyo gari mie sijawahi kujuta. Pia uchakachuaji mafuta umepungua sanaNime drive huo mpira mkuu nikaamua kuuza manake nilikua nawaza siku nikienda mkoani itakuwaje manake iliwai kuzingua siku moja kisa niliweka mafuta kwenye shell hizi zisizo na jina.
Mpira wako ulikua old model au newNime drive huo mpira mkuu nikaamua kuuza manake nilikua nawaza siku nikienda mkoani itakuwaje manake iliwai kuzingua siku moja kisa niliweka mafuta kwenye shell hizi zisizo na jina.
New Model mkuu manualMpira wako ulikua old model au new
Mwanzon nilidanganywa Kama wewe ila nikajitia mwehu nikanunua old model badala ya kiwanja huko Kiwangwa. Ninayo Xtrail toka 2017 sijutiiIna kisanga gani?