Habari za muda wadau,nafikiria kununua Nissan x trail kutoka kwa jamaa yangu ambayo alichukua hapa hapa Tanzania kwenye show room Nissan Enzi ndo zina ingia.
Nataka kujua zinakua na matatizo gani haswa hizi gari, na pia ni hatua gani natakiwa kufuata ninaponunua gari kwa mtu binafsi.
Shukran