Nissan X Trail

Mzee wa Masauti

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
2,199
Reaction score
2,510
Habari za wakati huu ndugu wanajamvi.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwauliza,
Nina mpango wa kununua Nissan X Trail mana nimevutiwa nalo kimwonekano.

Anaelifahamu vizuri gari hili anijuze kuhusu uimara wake, upatikanaji wa spare zake n.k.

Naombeni mawazo yenu wakuu!
 
Spare kibao sana cku hizi, lipo comfortable sana na mafuta ulaji wake mdogo kama wa vigari vidogo, ila usinunue yenye turbo... na engine ambazo hazisumbui ni QR20.. Huwa zinasumbua kidogo umeme ila solution ni kubadili sensor ndio huwa zinakua zimechoka... ambazo ndio ghali kidogo... Nunua mkuu gari nzuri sana,bodi yake tu ndo mayai sana
 
Ni gari yenye mwonekani mzurt na ipo strong ulaji wa mafuta inatakiwa usipokee kima cha chini.
Spea zake ni ghali kidogo zaidi ya nagati mwenhine hali itakayokufanya nuda nyingine utembwe kwa mguu kwa muda huku ukisubiri spes kutoja Naitobi.
Kwa hiyo kuna muda tutaendelea kukutana sankwenye madaladala kutokana na hiyo gari.
Nilikuweoo.
 

Uongo huo, spea gani ya kutoa Nairobi wakati zimejaa tele...
 

Ikiwa hutaki kulipa kodi mpya uje nikuuzie, bei poa sana na ni km mpya, haijaguswa ht kwa kugongwa na bicycle...call 0714010511
 

Nashukuru kwa taarifa mkuu!
 
we kweli mbatu.....
 

unaongea lugha gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…