Dalali Mtembezi
Member
- Mar 16, 2019
- 29
- 47
Harrier vipi spare zake mkuuShida ya nissan ni spare tu ghali sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haya madude nayapendaga sana lkn usiombe likoroge halaf umpelekee fundi maandaz aliezoea vicorola akichokonoe visivyo hamna rangi utaacha kuona...
Ukiskia hodi hodi kwny engine ni bora uagize engine nyingne mpya lkn ukianza kuichokonoa haipon inapata nafuu kidogo then inaanza tena figisu zikishakua chronic Kwny engine zinahamia kwny gear box...
Yaan I love nissan crazily na only real men can afford to owe these miracle cars
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekaririshwa.Mshipa
iga ufe
Shipa hilo..Umekaririshwa.
Hiyo ni Nissan X TRIAL sio km yeye alivyoiandika XTRAHii gari nzuri sana! Watu hawaelewi tu!
Haya madude nayapendaga sana lkn usiombe likoroge halaf umpelekee fundi maandaz aliezoea vicorola akichokonoe visivyo hamna rangi utaacha kuona...
Ukiskia hodi hodi kwny engine ni bora uagize engine nyingne mpya lkn ukianza kuichokonoa haipon inapata nafuu kidogo then inaanza tena figisu zikishakua chronic Kwny engine zinahamia kwny gear box...
Yaan I love nissan crazily na only real men can afford to owe these miracle cars
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sizungumzii X TRIAL nazungumzia X-TRAIL! nimezitumia sana kwa kazi za off road, hazina shida!Hiyo ni Nissan X TRIAL sio km yeye alivyoiandika XTRA
BOMU body lake BOMU ni bomu bodi lake acheni ikae huko mjini kwa ajili ya kitchen part sio gari la kazi karatasi sijui asbestos ikichanika ni kwa fundi viatu kupitisha nyuzi a wala sio fundi welding
Pia spear zake ni mkatabaHarrier ni toyota spare za toyota zipo nyingi sana, ndomana hapa tz gari nyingi ni za toyota coz hata spare zake ni cheap but nissan kma huna ela sikushauri ununue
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna uzi mmoja humu niliufuatilia 2015 ulikuwa unaponda sana X trail kulinganisha na Rav 4. Wakati huo workmate wangu alikuwa na X trail, na Mimi Rav 4 J series. Sasa gari yangu nikawa naiona relatively not spacious kulingana na Xtrail, nikaitamani. Zile posts zilikuwa zinakatisha tamaa sana. Yule workmate akasema, achana na watu wa mitandao hawa hawajui ukweli wa mambo "No research no right to speak", na yeye akasema hataki kupigia debe X trail bali tufanye "ethnographic research" kuwa tubadilishane gari for 3 months. Kilichofuatia ni kwamba niliagiza ya kwangu 2015 na mpaka tairi zimeisha na nimebadilisha kuonyesha gari imekula mileage za kutosha na maintenance costs ni zilezile kama nilizokuwa naingia kwenye Rav 4 J series. Nawashauri msikaririshwe.Shipa hilo..
iga ufe
Achana nao mkuu wanasumbuliwa na wivu na roho za kimasikiniKuna uzi mmoja humu niliufuatilia 2015 ulikuwa unaponda sana X trail kulinganisha na Rav 4. Wakati huo workmate wangu alikuwa na X trail, na Mimi Rav 4 J series. Sasa gari yangu nikawa naiona relatively not spacious kulingana na Xtrail, nikaitamani. Zile posts zilikuwa zinakatisha tamaa sana. Yule workmate akasema, achana na watu wa mitandao hawa hawajui ukweli wa mambo "No research no right to speak", na yeye akasema hataki kupigia debe X trail bali tufanye "ethnographic research" kuwa tubadilishane gari for 3 months. Kilichofuatia ni kwamba niliagiza ya kwangu 2015 na mpaka tairi zimeisha na nimebadilisha kuonyesha gari imekula mileage za kutosha na maintenance costs ni zilezile kama nilizokuwa naingia kwenye Rav 4 J series. Nawashauri msikaririshwe.