Nissan Xtrail diesel, manual transmition

Nissan Xtrail diesel, manual transmition

zyuho

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
220
Reaction score
348
Ndugu waheshimiwa habari za majukumu kama sio shughuli za kila siku,

Kama title hapo juu nimevutiwa sana na specification za extrail manual, maana nataka ku shift kutoka auto nipate gari yenye pulling na economy engene.

Najua kuna watao sema nissan sio gari mara ugonjwa wa moyo ila kiufupi company ya nissan ni mwenyeji nazo sio mara ya kwanza kumiliki nissan. Kikubwa nataka kujua kuhusu extral manual diesel yenye 2190CC kwa mlio wahi kuzi miliki.

Nawasilisha:

3426BA30-E121-4E2F-B0D2-3D95ADDA10F5.jpeg
 
Ukivyosema manual transmission nimetoka nduki. Hizo gari siku hizi ni adimu sana barabarani.
 
Back
Top Bottom