Huna pesa kaa kmyaushauri wangu uza 5m
Nikiuza nitafanyia kazi ushauri wako mkuu.Kwanini uwanja wako ujausakafia, au kuweka vile vitofali ili upendeze mkuu, ukaona bora upande ndizi
Huoni bei hapo....msiwe wavivu KusomaMbona hujaweka bei?
Ujenzi bado unaendelea nadhani mkuu c unaona fence yenyewe inaonekana mpyaKwanini uwanja wako ujausakafia, au kuweka vile vitofali ili upendeze mkuu, ukaona bora upande ndizi