mwakapisotz
Member
- Apr 23, 2020
- 15
- 7
Nauza Nissan Xtrail kama ilivyo pichani being mil 9.2Gari ipo Kigamboni.Namba ni DAP.Mawasiliano 0757048829
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu soma vizuri,13 M ni bei ya ndege.13M kubwa sana punguza boss!
Ina KM ngapi ilizotembea? Inamatatizo gani ambayo yanafanya uize?Nauza Nissan Xtrail kama ilivyo pichani being mil 9.2Gari ipo Kigamboni.Namba ni DAP.Mawasiliano 0757048829View attachment 1429171View attachment 1429172View attachment 1429173
Sent using Jamii Forums mobile app
Imetembea KM 129,000.Gari inatembea vizuri.Ina KM ngapi ilizotembea? Inamatatizo gani ambayo yanafanya uize?
Mkuu linatembea hili,Gari zuri sana hili,FULL AC,MUSIC,FOUR WHEEL,TINTED.Clean conditionInjin ya Nissan hainaga mvuto kabisa, ukifungua boneti mavitu yametawanyika hovyo kama jalala
Zawadi ipo checking pembeni ya gari Kuna kuku mnonoDAP imesajiliwa mwaka 2014 hivyo ipo mkononi mwako kwa miaka takribani 6 sasa.
Ukiagiza Japan au ukinunua Yard utaipata kwa kati ya mil 10 - 11mil
Wewe umeamua kwa makusudi kuuza mil 9.2 kwa kisingizio cha maongezi yapo
Hizi gari hazipendwi tena kutokana na matatizo yake, hivyo ukipata mteja wa mil 7 shukuru sana Mungu na usiache kumpa zawadi kwa kukuondolea hilo janga la Xtrail
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuweza kweli,inaonesha una uzoefu wa kufanya biashara mtandaoni.mwingine hapa angeshusha mitusi na kashfa zisizo na idadi
Kweli kabisa,kuna watu huwa wana ngozi laini hadi mtandaoni.Umemuweza kweli,inaonesha una uzoefu wa kufanya biashara mtandaoni.mwingine hapa angeshusha mitusi na kashfa zisizo na idadi
Kweli kabisa,kuna watu huwa wana ngozi laini hadi mtandaoni.Umemuweza kweli,inaonesha una uzoefu wa kufanya biashara mtandaoni.mwingine hapa angeshusha mitusi na kashfa zisizo na idadi
[emoji1784][emoji36][emoji36]DAP imesajiliwa mwaka 2014 hivyo ipo mkononi mwako kwa miaka takribani 6 sasa.