Car4Sale Nissan's Xtrail for sale

DAP imesajiliwa mwaka 2014 hivyo ipo mkononi mwako kwa miaka takribani 6 sasa.
Ukiagiza Japan au ukinunua Yard utaipata kwa kati ya mil 10 - 11mil
Wewe umeamua kwa makusudi kuuza mil 9.2 kwa kisingizio cha maongezi yapo
Hizi gari hazipendwi tena kutokana na matatizo yake, hivyo ukipata mteja wa mil 7 shukuru sana Mungu na usiache kumpa zawadi kwa kukuondolea hilo janga la Xtrail

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Injin ya Nissan hainaga mvuto kabisa, ukifungua boneti mavitu yametawanyika hovyo kama jalala
 
Zawadi ipo checking pembeni ya gari Kuna kuku mnono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemuweza kweli,inaonesha una uzoefu wa kufanya biashara mtandaoni.mwingine hapa angeshusha mitusi na kashfa zisizo na idadi
Kweli kabisa,kuna watu huwa wana ngozi laini hadi mtandaoni.
 
Umemuweza kweli,inaonesha una uzoefu wa kufanya biashara mtandaoni.mwingine hapa angeshusha mitusi na kashfa zisizo na idadi
Kweli kabisa,kuna watu huwa wana ngozi laini hadi mtandaoni.
 
[emoji1784][emoji36][emoji36]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iyo gari mbovu tu inaonekana ingine kama store ya maskilepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…