Nit

mi mwenyewe hyo hyo bachelor degree in logistics and transport mngmnt.no yangu 0659626782
 
Msaada please anayejua mawasiliano ya hiki chuo i.e email adress,no za cm au posta box yao.. Nisaidieni wakuu maana kwenye web yao sijaona!!
 
Nna cheti cha pre entry DIT je nikija hpo(NIT) nitakubaliwa kuanza Diploma?? Msaada wenu jaman
 
Cha nne mkuu

Aisee kama umeishia kidato cha 4 sharti upitie kozi ya mwaka mmoja(certificate) kutoka pale nit au chuo chengine kilichosajiliwa na nacte

Ila kwa kukushauri kama upo dar ni vema ukaenda pale nit ninaimani watakupa ufumbuzi wa tatizo lako
 
Mkuu hyo certificate si ndo sawa na pre entry? Au kna utofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…