+255 754 283 703 hizo ndo no zao
Karibu kijana tuongeze wataalamu wa usafirishaji.mi mwenyewe hyo hyo bachelor degree in logistics and transport mngmnt.no yangu 0659626782
Mkuu hyo certificate si ndo sawa na pre entry? Au kna utofauti?
dah ndugu sina jibu la moja kwa moja ila embu jaribu kupita pale wale jamaa watakupa maelezo
Nashukuru mkuu nilikuwa sijui kama walio maliza kidato cha nne wanaanza na certificate nilijua wanaanza Diploma kama hapa DIT
Dit unasoma diploma miaka mitatu, mwaka wa kwanza basic technician(nta level 4), mwaka wa pili full technician(nta level 5), mwaka wa tatu ndio diploma(nta level 6)
Wakati ukienda nit na vyuo vyengine wanakwambia uanze na certificate ya mwaka mmoja zen ndio unaingia kusoma diploma ya miaka 2
So sio nit wala dit kama mtu una cheti cha form 4 pekee lazima usote miaka mitatu ili kupata gamba la diploma
Nashukuru mkuu nilikuwa sijui kama walio maliza kidato cha nne wanaanza na certificate nilijua wanaanza Diploma kama hapa DIT
DIT hawan wanafunz wa certificate ila.wanaadmit moja kwa moja kusoma mpaka diploma ila ni sawa na vyuo vngne tu coz diploma ya DIT ni 3 years wakat wengne certficate 1 year na diplom 2 years so usiumize kichwa saana ni utaratibu wa kawaida tu hazna tofaut wala nn
teh teh teh Nit madem wa degree wachacheee
Mkishafika mnitafute niwanunulie kitimoto hapo Full Dose Bar .... Mkihitaji rum za kupanga mimi ndio dalali
kaka naomba unichek kwa number 0717382652,,,numechaguliwa apo...nipo arusha afu nataka geto...mpk leo cna raman apa...afu cna ndugu uko mjn plz
duh we jamaa huoni hio bata maaana kutakuwa hakuna purukushan za kihivo
Nikumbushe kwa PM jioni ya leo, umeshapata Geto tayari
sikushangai kwa kua huna akili eti unaenda chuo kikuu unaongea pumba kama hizi!Hongereni kwa kuchaguliwa kusoma kwenye taasisi na sio chuokikuu