The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Even by their looks they failed Catholicism. They’re simply a bunch of idiots!Jina langu halisi naitwa Muhamed Awadh Mafwere. Ni inspekta wa polishi kikazi.
Kwa amri toka juu, niliwaita washirika wetu akina Zuwena aliyejiita Rose, Zahra aliyejiita Sofia, Mahamoud aliyejiita Martin, Yahya aliyejiita Yohana na wengine wengi.
Kama 'wakatoliki' tuliandamana kupinga namna dini 'yetu' inavyotumika vibaya na kupiga vita serikali ya kipenzi cha Mungu na Watanzania.
Hivyo, binafsi kama 'mkatoliki' halisi, mimi Muhamed Awadh Mafwere Magwengefwenge Mwakafwila, naapa kuwa nitaandamana hadi Mtume sorry Yesu atakaporejea.
Petro-stesheni!Kama kweli we Mkatoliki sema "PETITION"?
Unazionaje akili za hawa watu. 1. Who are you. 2. Kama hamtaki ... hamieni Burundi. 3. Lopolopo mwingine wa jiji la Dar, mchapa viboko wanafunzi huko Mbeya. Hawa wanaweza kufanya chochote.Ila kama hiki kilichotokea serikali au kama kuna kiongozi wa serikali ndio ameratibu huu upuuzi amezingua pakubwa sana huwezi kushindana na taasisi kama Ile Kwa mbinu dhaifu Kiasi hiko
Sisi 'Waroma'.....Petro-stesheni!
Baba mtakatifu wa kumi na sita!
Mwamba ni yesu!
PresetesheniKama kweli we Mkatoliki sema "PETITION"?
Acha kuvutia bangi makalioniJina langu halisi naitwa Muhamed Awadh Mafwere. Ni inspekta wa polishi kikazi.
Kwa amri toka juu, niliwaita washirika wetu akina Zuwena aliyejiita Rose, Zahra aliyejiita Sofia, Mahamoud aliyejiita Martin, Yahya aliyejiita Yohana na wengine wengi.
Kama 'wakatoliki' tuliandamana kupinga namna dini 'yetu' inavyotumika vibaya na kupiga vita serikali ya kipenzi cha Mungu na Watanzania.
Hivyo, binafsi kama 'mkatoliki' halisi, mimi Muhamed Awadh Mafwere Magwengefwenge Mwakafwila, naapa kuwa nitaandamana hadi Mtume sorry Yesu atakaporejea.
Petro stationKama kweli we Mkatoliki sema "PETITION"?