Nitabaki na mke wangu na wanangu, kumbe ndugu ni kenge tu

Kumbuka.

Wahenga walisema maneno mengine yenye maana ukiyaunganisha na habari yako.

1. Tenda wema, nenda zako. Usingoje shukurani.

2. Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba.
Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba.....Respect
 
Dunia hadaaaa walimwengu sasa
 
Mkuu kwenye maisha unapomsaidia mtu usitegemee chochote hata yesu aliponya watu wengi ukoma ila ni mmoja tu ndio aligeuka nyuma na kushukuru hao ndio binadamu walivyo expect nothing to them.
 
Kumbe wewe ni shoga? Mara umeolewa mara umeoa.
Kwahiyo unapiga na unapigwa! Kapate baraka zako kwa papa.
 
Ni kweli sometimes ndugu ni kende lakini sometimes ndugu wapo wema sana kinachotokea ni uchawi wa uchonganishi mpaka unaona ndugu zako ni kende
 
Pole chief, sometimes ndugu ni viazi sana.. labda mama yako mzazi tu ndo anaweza kua mwema kwako, lakini ndugu wa kawaida mpaka baba yako mzazi anaweza kukupiga tu kwa hali yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…