Hili ni jambo jema, majengo hayo ya zamani ni ymezeeka na yamechoka mno!.Kuna project naiona ya kubomoa majengo ya zamani ya umma (NHC) na kujenga majengo mengine .KARIAKOO-DSM
Yes ni mali ya umma.Tukumbuke haya majengo mengi yalitaifishwa na Baba wa taifa ili yamilikiwe na umma.
Huna haja ya kuhoji hilo, jibu ninalo ni majengo ya umma.Nitahoji mnajenga majengo ya umma au siyo ya umma.
Wameuza kwa bei ya soko, fedha zote za serikali zinalipwa kwa control number, na zikiishalipwa, zinawekwa benki kwajili ya matumizi.Wameuza viwanja kwa gharama ya sh ngapi na pesa zipo wapi.
Wewe ni mvivu tuu wa kujisomea, nani alikudanganya ili kuuza mali ya umma, lazima uombe idhini ya Bunge?, nenda kaitafute mandate ya NHC wanaweza kufanya nini na nini hawawezi, kisha ndipo urejee hapa!.Kwa nini wameuza mali ya umma bila ruhusa ya bunge.
Its very good kuwa na chip, hiyo chip inakusaidia tuu kuwa traced, lakini haisaidii kitu chochote kuwazuia wenye kazi zao kufanya yao!, hata Balozi Polepole ana chip, ilisaidia nini?, kitu muhimu ni uwe na bima kubwa ya life insurance, ili usipokuwepo, wale yatima wako wasiteseke!.NB nimejiwekea chip for any thing happen.
Hili linafanyika kwa majengo la landmark za kihistoria, sio kila jengo la zamani ni historical!.Wanabomoa majengo ya zamani wanafuta kabisa historia
Wenzetu utakuta jengo ni la mwaka 1800 huko na bado linatumiwa na facilities zote
Zinakuwepo kwenye jengo la
Kale....
Inasikitisha sana wanavyobomoa majengo ya zamani
Ova
That's enough ,,there is nothing more to discuss here .Hili ni jambo jema, majengo hayo ya zamani ni ymezeeka na yamechoka mno!.
Yes ni mali ya umma.
Huna haja ya kuhoji hilo, jibu ninalo ni majengo ya umma.
Wameuza kwa bei ya soko, fedha zote za serikali zinalipwa kwa control number, na zikiishalipwa, zinawekwa benki kwajili ya matumizi.
Wewe ni mvivu tuu wa kujisomea, nani alikudanganya ili kuuza mali ya umma, lazima uombe idhini ya Bunge?, nenda kaitafute mandate ya NHC wanaweza kufanya nini na nini hawawezi, kisha ndipo urejee hapa!.
Its very good kuwa na chip, hiyo chip inakusaidia tuu kuwa traced, lakini haisaidii kitu chochote kuwazuia wenye kazi zao kufanya yao!, hata Balozi Polepole ana chip, ilisaidia nini?, kitu muhimu ni uwe na bima kubwa ya life insurance, ili usipokuwepo, wale yatima wako wasiteseke!.
P
Sawa wazee wa bomoa jenga,hamna planningHili linafanyika kwa majengo la landmark za kihistoria, sio kila jengo la zamani ni historical!.
P
Aisee wewe kweli ni realist. Siasa ngumu sana aisee.Its very good kuwa na chip, hiyo chip inakusaidia tuu kuwa traced, lakini haisaidii kitu chochote kuwazuia wenye kazi zao kufanya yao!, hata Balozi Polepole ana chip, ilisaidia nini?, kitu muhimu ni uwe na bima kubwa ya life insurance, ili usipokuwepo, wale yatima wako wasiteseke!.
Hili ni jambo jema, majengo hayo ya zamani ni ymezeeka na yamechoka mno!.
Yes ni mali ya umma.
Huna haja ya kuhoji hilo, jibu ninalo ni majengo ya umma.
Wameuza kwa bei ya soko, fedha zote za serikali zinalipwa kwa control number, na zikiishalipwa, zinawekwa benki kwajili ya matumizi.
Wewe ni mvivu tuu wa kujisomea, nani alikudanganya ili kuuza mali ya umma, lazima uombe idhini ya Bunge?, nenda kaitafute mandate ya NHC wanaweza kufanya nini na nini hawawezi, kisha ndipo urejee hapa!.
Its very good kuwa na chip, hiyo chip inakusaidia tuu kuwa traced, lakini haisaidii kitu chochote kuwazuia wenye kazi zao kufanya yao!, hata Balozi Polepole ana chip, ilisaidia nini?, kitu muhimu ni uwe na bima kubwa ya life insurance, ili usipokuwepo, wale yatima wako wasiteseke!.
P
Kwanini usmuulize meneja wa NHC kwenye Wilaya uliyopo? U-rais ni taaisisi, una shughulikia zaidi ya Watu milioni 70 sasa swali lako kuna mtu kateuliwa na anakula mshahara kwa kukupa jibu, nenda huko.Kuna project naiona ya kubomoa majengo ya zamani ya umma (NHC) na kujenga majengo mengine .KARIAKOO-DSM
Tukumbuke haya majengo mengi yalitaifishwa na Baba wa taifa ili yamilikiwe na umma.
Nitahoji mnajenga majengo ya umma au siyo ya umma.
Wameuza viwanja kwa gharama ya sh ngapi na pesa zipo wapi.
Kwa nini wameuza mali ya umma bila ruhusa ya bunge.
NB nimejiwekea chip for any thing happen.