Nitafikisha Miaka Mitano Kama Memba wa JF

babu Kichuguu... Hongera sana nakutakia miaka mitano mingine
viva Babu
 

timbwilitimbwili na Nungwi,ni walimu walipelekwa shule za kata huko dareda maeneo ya Ufana..kipindi kile walikua chuo
 


Kwa hilo nikukubali kwani kuna ndoa nyingine huwa haziwezi kudumu hata kufikia umri huo, lakini wewe na jf, hongera sana
 
2006 mpaka 2017=5years? Au mimi ndio sijaelewa. Hongera Bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…