cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
2006 mpaka 2017=5years? Au mimi ndio sijaelewa. Hongera Bro.
Dah! Ahsante Bro we ndio umenistua bro vizuri.Maana kuna mtu amepayuka hapo juu kama tuliwahi kuonana vile.Hii thread ni ya 2011
Mimi sio bro bhanaDah! Ahsante Bro we ndio umenistua bro vizuri.Maana kuna mtu amepayuka hapo juu kama tuliwahi kuonana vile.
Miaka 5 toka 2006 mpaka sasa?? Tying error au hesabu ni janga!! Just kiddin, HONGERA!Katika wiki tatu zijazo nitakuwa nafikisha umri wa miaka mitano kama mwanachama hai wa JF. Nilijiunga rasmi tarehe 10 October 2006, na katika kipindi chote cha uanachama wangu wa JF, nimeshughudia JF ikipanda sana na kujitofautisha sana na forums na blogus nyingine nyingi kama kisima cha mawazo ya kina, na vile vile chanzo cha habari nyeti zinazohusu mstakhabali wa nchi yetu.
Naomba mnipongeze kwa persistence yangu ya kuendelea kuwa mwanachama HAI wa JF miaka yote hiyo wakati kuna memba wengi sana kama Nungwi, Tibwilitibwili na wengineo wengi waliokwisha toweka hapa.
Duh, mi bado kinda ila niko consistent.Miaka 5 toka 2006 mpaka sasa?? Tying error au hesabu ni janga!! Just kiddin, HONGERA!
Hivi mie nina umri gani humu?? Ngoja nicheki!