Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
mbona kama maneno yamekuwa zaidi.. ?Twaranga enzigu omulitwe naimwe, kandi nomulimwe mwenka
Twaranga enzigu omulitwe naimwe, nomugati yanyu imwe.
(Kinyambo)
Naomba mnitafsirie sentensi hii kwa kikabila chenu: Jaribu kuwa as faithful to the words here as possible (yaani kile kilugha chenyewe hasa). Unaweza ukatafsiri neno kwa neno: Halafu niandikie ni kilugha gani.
Tunatangaza uadui, kati yetu na kati yao!
I'm smelling a rat here!.Naomba mnitafsirie sentensi hii kwa kikabila chenu: Jaribu kuwa as faithful to the words here as possible (yaani kile kilugha chenyewe hasa). Unaweza ukatafsiri neno kwa neno: Halafu niandikie ni kilugha gani.
Tunatangaza uadui, kati yetu na kati yao!
"Either you are with us or against us"
yaani inaweza kuwa "tunatangaza uadui kati yetu na wao"..
yerewiiiiii,نعلن أن العداوة بيننا وبينهم arabic
Nous déclarons que l'hostilité entre nous et entre eux! french
yerewiiiiii,
nafwa ne mwana wa nsafwa