kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
Huyo ndugu yako si ndiyo anafanya utafiti?Sasa kama haoni tatizo ambalo anataka kulifanyia study inakuwaje?Mimi nikimpa topic ataliona tatizo hilo kama mimi ninavyoliona?
sasa si umpe jamani unamkabia ili iweje? mpe tu![/Q
Sasa ataandika nini ili hali haoni tatizo?Sina haja ya kumkabia,maana huyo siyo threat kwangu!
Claiming ndo nini na wewe?Hayo ni madhara ya claiming dasarani,kama mtu unasoma kuelewa kweli uwezi kosa topic we mwenyewe,acha kumlemaza huyo ndugu ndo yaleyale akikaa kazini anataka kufanyiwa kila kitu na kusaini mikataba mibovu,Watz ndo tatizo tusimlumu mtu!!
Wadau ninaomba mnisaidie kupata topic ya kufanyia utafika kwa mwanafunzi anayefanya masters in Public Administration katika mazingira ya Tanzania,nina ndugu yangu anaumia kichwa sana na kwakua utafiti ni kusaidia jamii basi nikaona nilete hapa kwa wanajamii watupe mawazo.