POLE SANA Conso, kweli inauma, lakini penye wengi pana mengi, nadhani kwa sababu kwa sasa hauchagui kazi ili mradi iwe halali basi natumaini umeingia sehemu muafaka na utapata shughuli tuNaitwa Consolata ni msichana wa umri wa miaka 24,nina certificate ya forest kutoka chuo cha kimoja Moshi, nimetafuata kazi kwa mda wa mwaka sasa sijapata,ni kweli elimu yangu ni ndogo sana lakini ndo uwezo wangu ulipoishia kwa sababu nimejisomesha mwenyewe na wazazi wangu hawajiwezi,
Wanajamii nisaidieni nipate hata pa kuanzia vilevile sichagui kazi endapo ni ya halali.
Natanguliza shukrani za dhati.
Mkuu heshima mbele,umemsaidia pakubwa sana,nyie greenresources ni jirani zangu kule ------. Hapa ajitahidi mwenyewe, Conso usisahau kumwomba Mungu na kumwombea Edson.
Mkuu Malila,
Heshima mbele. Bado nafanyia kazi ile idea ya misitu. Asante kwa updates kwenye email. Natambua mchango wako mkuu na moyo wako wa kuopen up opportunities kwa wengine.
Mkuu Edson,
I wish to pay a visit to your place nipate kujua zaidi ya mambo ya misitu.
Mkuu Malila,
Heshima mbele. Bado nafanyia kazi ile idea ya misitu. Asante kwa updates kwenye email. Natambua mchango wako mkuu na moyo wako wa kuopen up opportunities kwa wengine.
Mkuu Edson,
I wish to pay a visit to your place nipate kujua zaidi ya mambo ya misitu.
Weka picha yako kwanza.
Weka picha yako kwanza.
kampuni hii ni ya kimataifa na sasa wana miradi mingi kwa tanzania, uganda,zambia,sudan, na mozambiqe ambako ndiko shighuli nyingi zimeanzishwa, fungua hiyo website utajua mengi juu ya kampuni hii na shughuli zake www.greenresources.no
usichelewe sana kutuma maobi yako,
fata maelekezo niliyokupa, tuma leo weekend kesho atakushughulikia.
poa nisaidie !!Wewe ni Nyani kweli!!!
Mtu anatafuta kazi wewe unataka picha ya nini? Kwani kakwambia anatafuta rafiki wa kalamu????
Kama unatafuta mchumba basi Nyani tueleze na tutakusaidia pia!!!
Naitwa Consolata ni msichana wa umri wa miaka 24,nina certificate ya forest kutoka chuo cha kimoja Moshi, nimetafuata kazi kwa mda wa mwaka sasa sijapata,ni kweli elimu yangu ni ndogo sana lakini ndo uwezo wangu ulipoishia kwa sababu nimejisomesha mwenyewe na wazazi wangu hawajiwezi,
Wanajamii nisaidieni nipate hata pa kuanzia vilevile sichagui kazi endapo ni ya halali.
Natanguliza shukrani za dhati.
please your phone number ???
Weka picha yako kwanza.
nakusaidia hivi dada yangu.
njoo, au andika barua kwa kampuni ya Greenresources limited ambayo ni kamuni mama ya saohill industries iko iringa mafinga. anuani ni 55 mafinga, au tuma email kwa mkurugenzi wa kampuni anaitwa sangito sumari ,email yake ni sangito.sumari@greenresources.no
njia nzuri ni kutuma email huyu MD atakusililza ni mtu mwelewa sana, wahi mapema.
mimi ni mwajiliwa kampuni hii kama IT Manager.email yangu ni maleges@yahoo.com
namab yangu ya simu ni 0756876634.website ya kampuni ni www.greenresources.no
fanya hivyo dada yangu