huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Habari wanajamvi....
Siku chache zilizopita Mh Rais aliwatoa hofu watanzania kwamba hatoweza kuendelea kugombea baada ya miaka yake 10 kuisha....
Lakin niseme kitu kimoja kwamba watanzania tusibweteke na kauli hii ya Mh Rais bado mapema Sana kuiamini kauli hii,wanasiasa ni watu wa ajabu sana mtashangaa 2020 baada ya uchaguzi miezi kadhaa mbele msishangae akabadili katiba na hatimaye kuongoza milele....
Tusimwamini MTU huyu....
Natoa tahadhari....
sio yeye ni POMBE ilio ndani yake !!
miaka yake10 kivipi mkuu au kashajua matokeo ya 2020
akinipa ajira wacha atawale milele