Hongeza HOJA nyingine,Kulipia LESENIi ya utendaji kazi Kila mwaka Kwa gharama kubwa Kwa fani km nurses,udaktari huku hawafanyi biashara na KUTOPANDISHWA MADARAJA km mtumishi Ambaye hajapata Leseni japo alijiendeleza(Tena Kwa gharama zake mwenyewe)ni unyanyasaji mkubwa Kwa WATUMISHI ,Rais wetu ameshasema kabisa kuwa anaweka msawazo kwa mserereko kwa walimu
Na baadhi ya halmashauri bado wanaona hiyo sio muhimu ila inaumiza sana mtu mmeanza pamoja halafu unakuta mwenzako kakuzidi zaidi ya madaraja mawili
Kwakweli inauma sana na tunamwachia Rais aone namna ya kuwasaidia walimu wake
Ni jambo jema ila ninakuuliza hao unaotaka wapate haki zao wanakubaliana na wewe? Au watakuona unania ovu ya kuwagombanisha na mama! Usije ukashangaa watakapokukana, ninakushauri usijaribu kumtetea mtanzania atakuumbua.Mimi nipo kuwatetea Watumishi wa Umma. Hawa ni walimu Madaktari, wauguzi, manesi nk. Hawa ni watu muhimu sana katika jamii.
Katika mikataba yao ya kazi kuna kipengele kinachosomeka "Your incremental date will be on July 1st", yaani kila mtumishi wa Umma atapata nyongeza ya mshahara ya mwaka kila tarehe 1, July.
Kwa makusudi serikali imekuwa ikivunja masharti ya mikataba ya watumishi wa Umma bila kujali chochote.
Lakini pia upandishaji madaraja kwa watumishi wa Umma hauzingatii nani aanze kisha afuate nani. Hivyo utakuta watumishi walioanza kazi kwa kupishana miaka hata 8 wote wanakuja kuwa kwenye daraja moja kitu ambacho si kizuri.
Kwa sababu hizo, nitaipeleka mahakamani serikali ili haki iweze kupatikana kwa watumishi wa Umma.
Umeona eeeehhhjKama waalimu wanachangia achukue fomu ya uchaguzi wa urais kwanini uwatetee
Waalimu wasiongezewe mishahara daima! Wanashiriki kuipora haki ya wananchi kuchagua viongozi na watawala kwenye hi nchi. Hali inayopelekea na wao kuwa na maisha magumu kama sisi. Waangamie kabisa hawana Maana.Mimi nipo kuwatetea Watumishi wa Umma. Hawa ni walimu Madaktari, wauguzi, manesi nk. Hawa ni watu muhimu sana katika jamii.
Katika mikataba yao ya kazi kuna kipengele kinachosomeka "Your incremental date will be on July 1st", yaani kila mtumishi wa Umma atapata nyongeza ya mshahara ya mwaka kila tarehe 1, July.
Kwa makusudi serikali imekuwa ikivunja masharti ya mikataba ya watumishi wa Umma bila kujali chochote.
Lakini pia upandishaji madaraja kwa watumishi wa Umma hauzingatii nani aanze kisha afuate nani. Hivyo utakuta watumishi walioanza kazi kwa kupishana miaka hata 8 wote wanakuja kuwa kwenye daraja moja kitu ambacho si kizuri.
Kwa sababu hizo, nitaipeleka mahakamani serikali ili haki iweze kupatikana kwa watumishi wa Umma.
Mkuu kesi ya mbuzi huwezi kupeleka buchani,Kwa sababu hizo, nitaipeleka mahakamani serikali ili haki iweze kupatikana kwa watumishi wa Umma.
Watumishi sio walimu tu kada zote za utumishi hta jw,police, utendaji, Os wote hao watumishiRais wetu ameshasema kabisa kuwa anaweka msawazo kwa mserereko kwa walimu
Na baadhi ya halmashauri bado wanaona hiyo sio muhimu ila inaumiza sana mtu mmeanza pamoja halafu unakuta mwenzako kakuzidi zaidi ya madaraja mawili
Kwakweli inauma sana na tunamwachia Rais aone namna ya kuwasaidia walimu wake
Cha kushangaza zaidi utashambuliwa na walewale unaowateteaMimi nipo kuwatetea Watumishi wa Umma. Hawa ni walimu Madaktari, wauguzi, manesi nk. Hawa ni watu muhimu sana katika jamii.
Katika mikataba yao ya kazi kuna kipengele kinachosomeka "Your incremental date will be on July 1st", yaani kila mtumishi wa Umma atapata nyongeza ya mshahara ya mwaka kila tarehe 1, July.
Kwa makusudi serikali imekuwa ikivunja masharti ya mikataba ya watumishi wa Umma bila kujali chochote.
Lakini pia upandishaji madaraja kwa watumishi wa Umma hauzingatii nani aanze kisha afuate nani. Hivyo utakuta watumishi walioanza kazi kwa kupishana miaka hata 8 wote wanakuja kuwa kwenye daraja moja kitu ambacho si kizuri.
Kwa sababu hizo, nitaipeleka mahakamani serikali ili haki iweze kupatikana kwa watumishi wa Umma.
Hao ndiyo namba moja kwenda kumkamata na kumsweka ndani mtetezi waoWatumishi sio walimu tu kada zote za utumishi hta jw,police, utendaji, Os wote hao watumishi
Nikweli kabisa mnamanisha mazuri. Cha ajabu mmelalamika kutozwa 50k ya mwenge.Sisi walimu wa tz tunamaisha mazuri.wewe mleta mada acha kufungua ki kesi chako uchwarwa
Ni kazi ake au kazi ya TUCTA?Ukumbuke kuleta mrejesho
Huyu shetani hana bando tangu JumamosiWalimu wataandamana kukupinga, na kukutaka usiwagombanishe na serikali sikivu ya Rais wao mpendwa, jemedari wa vita, mpambanaji wa haki na maisha bora ya walimu anayewafanya kila siku wabubujikwe na machozi ya furaha, aliyewafanya walimu wa Tanzania kuwa kwenye maisha bora kuliko walimu wote Duniani.
Na risala hiyo itasomwa na mzalendo sana wa CCM, ndugu Lucas Mwashambwa.
Sent using Jamii Forums mobile app