Nitaiburuza serikali mahakamani kama nilivyoahidi

Acha hawa wajinga wanyooshwe
 
Boss nurses kwa mwaka ada haizidi 70k kama sikosei pharmacy ni 66k hio ni diploma kwahio unaiona hio ni kubwa
 
Hii ilitokea au inatokea baada ya kuachana na Seniority system Miaka Hiyo ya 90.
 
Serikali ya CCM nj serikali sikivu itafanya kabla hata haijaburuzwa mahakamani.
 
Kivipi mkuu. Hebu funguka zaidi
Waulizwe Wale wa Zamani huko Ofisini watakueleza Seniority system ilivyokuwa. Yaani haikuwa rahisi umpite cheo na Mshahara uliyemkuta kazini wa fani moja.
 
Waulizwe Wale wa Zamani huko Ofisini watakueleza Seniority system ilivyokuwa. Yaani haikuwa rahisi umpite cheo na Mshahara uliyemkuta kazini wa fani moja.
Serikali ya CCM ina mambo ya kipumbavu sana. Kwanini hasaimeamua kuwadhulumu watumishi wa umma haki zao za msingi kiasi hiki? Ndio maana Mungu amewalaanimbwa hawa.
 
Kivipi mkuu. Hebu funguka zaidi
Wewe kama ni GenZ au Millennial huwezi kuelewa hiyo System. Ila Kwa kuelewa zaidi Google "Seniority System at Workplace". Unaweza hata ukafanya Research kuhusu Kwa nini iliondoka kazini.
 
Kabi
Ni jambo jema ila ninakuuliza hao unaotaka wapate haki zao wanakubaliana na wewe? Au watakuona unania ovu ya kuwagombanisha na mama! Usije ukashangaa watakapokukana, ninakushauri usijaribu kumtetea mtanzania atakuumbua.
Sa aisee
 
Walimu tunawaonea huruma, lakini wao ndio msaada kwenye wizi wa kura, juzi wamejitia kimbelembele front kumchangia raisi fomu ya uraisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…