Nitaichukia Manchester United hadi ' Kiama ' kitakapofika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama kuna Timu mbili Kubwa duniani ambazo nazichukia na sitozipenda au Kuondoka Kwangu Ulimwenguni ni Yanga SC ya Tanzania na Manchester United ya nchini Uingereza. Haiwezekani Manchester United icheze Mchezo mbovu hivi dhidi ya Manchester City na Kukubali Kipigo ' Kilaini ' hivi.
 
Kumbe kuna kipigo kigumu na kilaini,na wewe ulikaa ukawa na matumaini kwamba United àtamfunga City😂😂😂😂.....Kuna watu mna matumaini kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…