Nitaichukia Manchester United kama Klabu na Mashabiki wake ' Roho Mbaya ' hadi ' Kiama ' cha Mwenyezi Mungu kitakapofika

Nitaichukia Manchester United kama Klabu na Mashabiki wake ' Roho Mbaya ' hadi ' Kiama ' cha Mwenyezi Mungu kitakapofika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama kuna Timu mbili Kubwa duniani ambazo nazichukia na sitozipenda au Kuondoka Kwangu Ulimwenguni ni Yanga SC ya Tanzania na Manchester United ya nchini Uingereza. Haiwezekani Manchester United icheze Mchezo mbovu hivi dhidi ya Manchester City na Kukubali Kipigo ' Kilaini ' hivi.

Sasa kama kumbe mlikuwa mnataka ' Kutukomoa ' Sisi wana Liverpool FC ili mfungwe na tusibebe Kombe Msimu huu kwanini tu basi msingeongea na FA nchini Uingereza ili mechi yenu ya leo msipeleke Timu Uwanjani na badala yake Manchester City wapewe tu ' Ushindi ' wa Mezani?

Na najua Siku zote Mwenyezi Mungu hajawahi Kuacha Kusikiliza ' Dua ' zangu Kwake na safari hii namuomba mno Mwenyezi Mungu ' ailaani ' vilivyo Klabu ya Manchester United ifanye vibaya Mechi zake zote zilizobaki na mpaka Ligi inamalizika iwe katika Nafasi ama ya Nane au ya Kumi kabisa kisha Kocha wake augue ' Uwendawazimu ' ghafla na Mchezaji Paul Pogba ' asuse ' kabisa na aondoke zake.

Hakuna Siku niliyopandwa na Hasira / Jazba kama leo na kama Magaidi wa Boko Haram na Al Shabaab wananisikia naomba waje wanipe tu Mafunzo yao ili wanipe ' Mabomu ' ya Kutosha nikalipue Majengo ya Klabu hizi mbili Yanga ya Tanzania na Manchester United ya Uingereza au niwavizie Wachezaji Wao ' Maarufu ' nilipuke nao tu ili nami ' niwakomoe ' vile vile.

Nilikuwa nimeshaanza Kuivaa Jezi yangu ya Liverpool FC ' Bingwa ' wa 2018/2019 ila kwa ' Upopoma ' huu uliofanywa muda si mrefu tena wa ' Kimakusudi ' kabisa na Wachezaji wa Manchester United kuna uwezekano mkubwa hii Jezi nisivae tena labda nivae tu sasa Jezi inayosema Liverpool FC ni Mshindi wa Pili kwani sioni tena Timu ya Kumsimamisha Manchester City na namuona Pep Guardiola anaenda Kunyanyua ' Kwapa ' yaani Kuchukua hili Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza kwa mara nyingine tena.

Nawasilisha.
 
LOOSERFOOL POLENI BANA, BORA KUFUNGWA NA JIRANI KULIKO ADUI YAKO ACHUKUE KOMBE
 
aisee huwa najiuliza kwa nini siipendi liverpool sipati jibu.... naichukia hii timu na yanga pia na barclona. hapa dua zangu zote zipo kwa tottenham achukue uefa....
 
Liverpool vs Mavi, kama ningekuwa mwanamke Mavi yangenitomberea mbali kuliko maini yenu.

Mashabiki wengi wa Liverpool ni wafupi sana, hata akili zao kuishi karibu na mavi. Kwa kilema hicho utanyanyua kwapa kwenda wapi.
 
Toka umezaliwa leo ndiyo umeongea points sister GENTA.
 
Back
Top Bottom