Nitainukaje??

Nitainukaje??

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,503
Reaction score
6,415
Habari wana JF?

Nina kampuni yangu nimeisajili kila kitu, ilikuwa vizuri kimtaji kabla ya kuiacha na kwenda kutafuta elimu zaidi. Gharama na maendeleo ya shule yote nilikuwa natoa kwenye kampuni kitu kilichofanya nimalize masomo but na kampuni nayo imeyumba sana!!

Najaribu kuwaza nitajinyanyua vipi maana hata kazi bado sijapata na nahitaji mtaji niendeleze kampuni yangu!!

Nimeisajili kwa usambazaji wa computer, nilikuwa nauza computer saana!!

Asanteni saana
 
jaribu kwenda bank wakupe mtaji uweze kuinuka tena mkuu
 
Back
Top Bottom