Nitaishangilia Uingereza siku ya Fainali ya Euro24

Nitaishangilia Uingereza siku ya Fainali ya Euro24

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kabla ya hapa nilikuwa nashangilia Denmark, hii ni kwa sababu kwenye vijjiji vya Kwetu Kyela viliwekewa Maji ya bomba kwa mara ya kwanza na Nchi ya Denmark kupitia shirika la DANIDA, yaliitwa maji ya DANIDA

Kwenye michuano hii ya Kimataifa huwa sishangilii kwa kufuata mkumbo, Nashangilia wale wanaowasaidia Watanzania.

Ndio maana kwenye Fainali niko na England maana nimepima misaada yao kwetu ni mingi kuliko inayotoka Spain

MUNGU WABARIKI WAZUNGU
 
Back
Top Bottom