GM7
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 492
- 24
Kwa kweli mchina amejitahidi kuliteka soko la simu za mkononi. Karibu kila mtu ana simu ya kichina. Lakini tatizo la simu ni kuisha kwa betri zake mapema mno pengine siku mbili au hata siku moja kwa matumizi ya kawaida. Ila nasikia ukipata battery zake original angalau zinakaa muda mrefu kidogo.
Je nitazitambuaje feki na original? Maana wakati fulani unauziwa betri feki ukidhani original. Naomba tusaidiane hapa.
Je nitazitambuaje feki na original? Maana wakati fulani unauziwa betri feki ukidhani original. Naomba tusaidiane hapa.