Kwa kweli mchina amejitahidi kuliteka soko la simu za mkononi. Karibu kila mtu ana simu ya kichina. Lakini tatizo la simu ni kuisha kwa betri zake mapema mno pengine siku mbili au hata siku moja kwa matumizi ya kawaida. Ila nasikia ukipata battery zake original angalau zinakaa muda mrefu kidogo.
Je nitazitambuaje feki na original? Maana wakati fulani unauziwa betri feki ukidhani original. Naomba tusaidiane hapa.
labda ukiwa unanunua uhimize kuwa unataka feki mana ukisema unataka orijino wanakuuzia feko!!
Nami huwa nafanya hivyo hata kwenye spares. Kwanza nasema mimi nataka feki tu, akileta feki sasa namwambia niletee orijino, nimebadilisha mawazo:smile-big:
Issue yak ya kwanza ina utata. Matumizi ya kawada ni yapi kwako. Unaongea masaa mangapi? Simu yako ina bluetooth? Je iko on, Ukubwa wa screen ya simu yako ni size gani?inachukua muda gani screen kujizima ikiwa idle? Je umetune ringtone na sms alert kwenye vibration na sound? Kwa nn usijachague Sound tu au vibation tu? Kuna service nyingi kwenye simu zinachangia kula betri inategemea na aina ya simu.
So Tuning ni muhimu pia Ili simu yako itumie energy efficiently .Usidhani hata ukipata hiyo unayohita orijinal itakuwa na tofauti na hizo unazoita feki. kama walicyosema wadau tofauti ni kama hakuna
sasa kutambua betri tembelea site ya nokia eg Nokia Support Discussions - Battery - Check its an original! - Nokia Support Discussions. Unaweza ku google pia.
Nami huwa nafanya hivyo hata kwenye spares. Kwanza nasema mimi nataka feki tu, akileta feki sasa namwambia niletee orijino, nimebadilisha mawazo:smile-big: