Nitaitambuaje hii namba~0222119302

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Wadau mnaweza mkanishangaa lakini sitashangaa kwan kushangaa vinavyoshangaza si tatizo. Wadau namba hiyo imenipigia na nimeshndwa kupokea, napiga haipatikani. Nahis ni simu kwa ajir ya kaz, plz anayeweza kuitambua.
 
dah! ushakosa ajira ila we jaribu kuipigia tena au tafuta kitabu cha posta coz ni land line.
 
Kwanini hupokei simu usiyoijui?
1. Una madeni?
2. Unakula mke wa mtu?
3. Una uhusiano na Al-Shababy?
4. ???
Tatizo nn mpk hukupokea?
 
Wadau mnaweza mkanishangaa lakini sitashangaa kwan kushangaa vinavyoshangaza si tatizo. Wadau namba hiyo imenipigia na nimeshndwa kupokea, napiga haipatikani. Nahis ni simu kwa ajir ya kaz, plz anayeweza kuitambua.

Tumia mtandao wa voda utaipata kwani ukipiga kutumia tigo haipatikani
 
jaribu ku i google utaijua ni wa ya wapi ukishindwa jaribu Telephone directory (Yellow Pages)
 
Angalia kwenye kitabu cha simu......
 
dah! ushakosa ajira ila we jaribu kuipigia tena au tafuta kitabu cha posta coz ni land line.

duh yawezekana ilikuwa intaviuu hiyo kaka au kuitwa kazini,usichoke kuipiga mara kwa mara mpaka kieleweke
 
Wadau mnaweza mkanishangaa lakini sitashangaa kwan kushangaa vinavyoshangaza si tatizo. Wadau namba hiyo imenipigia na nimeshndwa kupokea, napiga haipatikani. Nahis ni simu kwa ajir ya kaz, plz anayeweza kuitambua.

We tindikali nawee,unataka kuendelea kubaki mtaani au?
 
Tumia mtandao wa voda utaipata kwani ukipiga kutumia tigo haipatikani

nashukuru mkuu, nimewapigia ni Banc ABC, wamenambia ningojee ila nataka niwaibukie, nipo huku huku mjini. Wanaweza wasinitafute hawa
 
Nawashukuru wadau wote mliochangia hii thread na mmenifanya nisiipuuze hii namba, ndiyo natoka hapa BancABC. Nipo among shortlisted, pepa ni j5 asubuhi.
 
Wadau mnaweza mkanishangaa lakini sitashangaa kwan kushangaa vinavyoshangaza si tatizo. Wadau namba hiyo imenipigia na nimeshndwa kupokea, napiga haipatikani. Nahis ni simu kwa ajir ya kaz, plz anayeweza kuitambua.
[h=1]Permanent Secretary
Ministry of Home Affairs
P.O. Box 9223, DAR ES SALAAM
Tel No: +255 - 222119302
[/h]+255 - 22- 2112036
+255 - 22- 2112040Fax:+255 - 22- 2119050E-mail: ps@moha.go.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…