Nitaitambuaje hii namba~0222119302

AFRICAN BANKING CORPORATION (T) LTD
:BOX- 31
PHONE:
: 022-2111990
: 022-2119423
: 022-2112402
: 022-2112778
: 022-2119300
: 022-2119301
: (022-2119302)
: 022-2119353
: 022-2137089
: 022-2601616
Hizo zote ni namba zao.
Wapo pale barclays house,
1st floor,
Ohio street,mbele ya Movenpick hotel, Dar es salaam.
ukiwakosa kwa namba moja watafute kwa namba nyingine.zote zinafanya kazi. Mia
 
thanx mkuu.mia
 
Nawashukuru wadau wote mliochangia hii thread na mmenifanya nisiipuuze hii namba, ndiyo natoka hapa BancABC. Nipo among shortlisted, pepa ni j5 asubuhi.

"why are still creating employees instead of employers?" nimeiona some where jf.
 
Kwanini hupokei simu usiyoijui?
1. Una madeni?
2. Unakula mke wa mtu?
3. Una uhusiano na Al-Shababy?
4. ???
Tatizo nn mpk hukupokea?

hiyo namba 2 najua ndo ulikojikita.
 
Kaka ulikua umeshakosa intavyuuuu!ttz nn?ulikua unasimamia show nn?
 
Wadau mnaweza mkanishangaa lakini sitashangaa kwan kushangaa vinavyoshangaza si tatizo. Wadau namba hiyo imenipigia na nimeshndwa kupokea, napiga haipatikani. Nahis ni simu kwa ajir ya kaz, plz anayeweza kuitambua.

Kuna cku nilipigiwa kwa hii namba: +22307994**( I hope sitakiwi ku-expose namba ya m2 hapa), mpigaji alikuwa na lafudhi ya kizungu-na haikuwa wrong number coz' jamaa aliniita kwa jina langu ingawaje ilikuwa shida kwake kulitamka sawasawa-mzungu na majina ya kiswahili+ya kibantu!!!! unfortunately, nilikuwa sehemu yenye kelele kishenzi kiasi kwamba tukashindwa kabisa kuelewana hadi jamaa akakata. nikasogea sehemu nzuri na kujaribu kupiga....kila nikipiga ina-terminate hapo hapo!!! Nika-search kila mahali, lakini wapi!!! mwisho nikajikuta natakiwa kulipia ili nijulishwe ni namba ya nani na ya wapi....kumbe kwa wazungu service ya kujua mmiliki wa namba; ipo, lakini sharti ulipie!! NIKAUFYATA!! Nimebaki tu kujiuliza ilikuwa ni deal gani na ni ya wapi, manake wengine sisi baada ya kuchoka kusambaza CV kila mahali huku kila siku tukilala na kuamka zoom, hatimae tumeamua kupeleka CV zetu hadi Alaska, na muda c mrefu nitazi-drop mpaka Antactica na ikibidi hata sayari ya Mars!!! Na hiyo namba haielekei kama ni TZ unless kama anatumia tofauti na hizi tulizozoea....!!1
 
Piga mida ya kazi then utajua ni ya wapi na jibu utalipata kwa nini ulipigiwa then fwatilia mengineyo.
 
Kila la heri mkuu tindikalikali, hope utafanikiwa

Nawashukuru wadau wote mliochangia hii thread na mmenifanya nisiipuuze hii namba, ndiyo natoka hapa BancABC. Nipo among shortlisted, pepa ni j5 asubuhi.
 
you have breach data protection act by recklessly expose a company's central phone line to anonymous online community, we are tracing your identity for legal action.
 
you have breach data protection act by recklessly expose a company's central phone line to anonymous online community, we are tracing your identity for legal action.

sawa mkuu, nipm nikupe jina kamili na mahali nilipo, nipo tayari kuwajibika kwa hili.
 
you have breach data protection act by recklessly expose a company's central phone line to anonymous online community, we are tracing your identity for legal action.

Mkuu acha vitisho,atapanic ashindwe kufanya usahili vizuri kesho,best wishes tindikalikali
 
Mkuu acha vitisho,atapanic ashindwe kufanya usahili vizuri kesho,best wishes tindikalikali

hao ndiyo binadamu mkuu, sijui huyo juu aliyeweka namba zaidi ya kumi watamfanyeje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…