Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

kwa Mfano nimekuagiza kitu nilikua serious kabisa,kilipofika ikatokea nikapata shida au tatizo Je kile kitu kilichoagizwa naweza kukilipia nusu nusu yani kidogo kidogo kikiendelea kubaki hapo hapo kwenu mpaka nitakapomaliza deni ndipo mnanikabidhi?
 
inawezekana
 
Nomba hizo zawadi mkuu ,niliagiza generator kwenu mwaka 2018 hadi leo linadunda nadadilisha oil filters na Engine oil tu.
 
Nikuuliza bei Generator umekaa kimya ndo nini
 
Generator king max KM5800 DXE ya 6.5hp ni be gani?
 
Nahitaji kujua bei ya simu zifuatazo
1. Google pixel 5a
2.samsung note 10lite
2.samsung s10 5g
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…