Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Kuna mizigo imefika jana wote mlioagiza mizigo ingia kwenye account zenu kuna tracking number kwajili kujua position ya mzigo wako.
1.weka address yako
2.Namba ya simu
3.Kama mzigo wako bado ujalipia fanya malipo
4.Baadhi ya vitu bei zinaweza kubadilika kutona na gharama za usafiri kupanda
Asanteni sana kwakutuungisha Mungu awabariki.
 
Tangazo Tangazo tunaomba watu wote mliagiza mizigo mizigo yenu imefika tao maelezo jinsi ya kupokea mizgo yetu.
 
REDMI NOTE 11 CHINESE VERSION...
ROM 128 GB
RAM 4 GB
SIDE FINGERPRINT SENSOR
SPLASH AND DUST RESISTANT
90 HZ REFRESH RATE..

FULL BOXED
HAZINA GOOGLE SERVICES SO APPS UNATUMIA STORE YA APKPURE AU MI STORE ..
HAZIKUBALI GOOGLE MAANA NI ZA CHINESE VERSION NA SIO GLOBAL...
NAUZA BEI CHEE KWA SABABU HIYO...

BEI 370K SIMU ZA MWAKA HUU... ZIMEBAKI MBILI TU ....
0693225605
 
Tangazo kuanzia leo 20/04/2022 kupitia page hii tumebadilisha utaratibu bidhaa zote zinalipiwa kabla ya kupakiwa ili kuondoa usumbufu wa mlundikano wa mizigo isiokuwa na wenyewe kwenye store zetu.

tunataka watu wachache ambao wako serous peke yake, kama unajua hauko serious jikatae hii ni biashara ukitaka kuagiza kitu chochote nilazima kilipiwe kabala ya kupakiwa kwenye container .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…