Nitajie jina la mti linaloanziwa bila herufi 'm'

Nitajie jina la mti linaloanziwa bila herufi 'm'

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Ni swali nililoulizwa leo na bwana mdogo wa form one akaniahidi dhawadi ya bazoka nikipatia,nimepewa siku 2.Naombeni mchango wenu tugawane bazoka...!!!

*zingatia-liwe katika lugha ya kiswahili tu
 
aisee hakuna maana hata nno lenyewe MTI linaanzia na herufi 'M'
 
kwa hiyo unataka kuwaambia nn watu wenye majina yanayoanzia na "m"?
 
Hii ilishaletwa humu zamani, search utaikuta.
 
prefix hiyo kwa miti yote - jina tunda ukiweka m mbele unapata jina la mti
ulishindwa kumwambia hivyo at the first place?
 
Hiyo ni kanuni tu ya lugha ya kiswahili na hakuna ajabu hapo. Hata kwenye majina ya makabila kanuni hiyo haikwepeki.
Mahali stahiki kwa uzi huu ni Jukwaa la Lugha badala ya Jukwaa la Elimu.
 
Ni swali nililoulizwa leo na bwana mdogo wa form one akaniahidi dhawadi ya bazoka nikipatia,nimepewa siku 2.Naombeni mchango wenu tugawane bazoka...!!!

*zingatia-liwe katika lugha ya kiswahili tu
Gugumaji
 
Mkuu mbona umeenda chaka kuna mti unaitwa kwangara.
 
Back
Top Bottom