Nitajie kiwanja kizuri Chenye totoz mkoani kwenu

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Kwa sisi tunaopenda kusafiri,tukifika huko tuendako huwa tunapenda kufahamu sehemu ambazo tutafurahia maisha tukiwa huko ugenini.Moja ya vitu tunavyopenda ni kwenda kwenye viwanja vyenye watoto wakali,hata kuwaona tu ni raha vyakula na vinywani vinashuka vizuri.Miongozo yenu ni muhimu kuwaza kuvibaini viwanja hivi ambavyo ni kama paradiso.Kwa walioko mikoa hii naombeni kuvijua viwanja babu kubwa vilivyoko huko kwen.Nipo kwenye kazi inayonifanya nizunguke mikoa mbalimbali na hii ni mikoa nitakayoitembelea.Sio hii tu nitatembea mikoa mingi
IRINGA
MBEYA
SINGIDA
MOSHI
MOROGORO
MWANZA
DODOMA
TABORA
MANYARA
ARUSHA
NA KWINGINEKO JAPO KUNASEHEMU HATA SINA INTEREST YA KUFIKA KAMA HUKO KIGOMA,LINDI,MTWARA SUMBAWANGA
Kwa sasa nimekuja Mbeya nimevijua viwanja kadhaa Mbeya Pazuri,Negro,Carnival,na New Mbeya City Pub
 
Dodoma zamani tulikuwa tunagongea pale maeneo ya uhindini kuna lodge inaitwa Keko, nyingine ilikuwa inaitwa tanzanite. Pale niligonga zaid ya 10. Kipindi cha bunge unagonga mashangingi hadi raha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha waheshimiwa nap pia inaonekana wanapakubali sana dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…