Nitajie kiwanja kizuri Chenye totoz mkoani kwenu

Ipo barabara ya kwenda Kihonda au Dodoma road.

Totoz hutegemeana na ukali wa pisi yenyewe.
Zinakuwa mule ndan au Toto's zinakaa nje maana nliskia hawaruhusiw wanawake kuingia pasipo kununua kunywaj chochote mlangon
 
SONGEA TOWN
> La Chalz
> Mtini Pub
> Lamoly
> Liquid
> Lavender
> Serengeti
 
Huyo totoz utakayemkuta hapo kwenye kiwanja kizuri ujue ni cha wote [emoji108][emoji108][emoji108]

Ni Jamvi la wageni [emoji108][emoji108][emoji108]

Kwa hiyo hatari ya uwezekano wa kuwa mgonjwa ni kubwa kuliko maelezo!

Unless iwe kwamba Huyo anayemtaka awe tayari naye anao kwa hiyo itakuwa ni remix.

Lakini kwa mtu ambaye ana maono hataweza kuchukua au kubeba hatari kiasi hicho.

Asomaye na afahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…