Kwanini NIMEIPENDA??
Kwa sasa nimerudi kwenye kiini changu yaani nimejikuta nimegundua kumbe asili yangu ni ufugaji.hahaha wahutu mnisamehe me ni nyaturu tok Ethiopian huko niko na watusti sambamba kazi yetu kubwa ni UFUGAJI ..mbuzi,kuku, sungura, Bata,njiwa, ng'ombe...hii. So sekta na wizara yangu kwa sasa nyingine na enjoy tu...
Sasa navoishi na mke wangu aisee shemeji yenu anasapoti jitihada zangu zote yaani Mimi ndo mpangaji na mtendaji ye yupo kama observer TU.hakatazi me kujiongeza kivyovyote na ameyakubali MAISHA YA KWELI MAISHA YA UFUGAJI..na siku akienda TOFAUTI na mawazo yangu nam disqualify.na ndo hii mada inatutaka..yaani uliwazalo usiku ulifanye mchana bila kimwazo eti cha mke.
Ni mada na si maada, sikukosoi kwa kuwa hata mimi si mjuvi wa lugha za watu. By the way hiyo mada uliyoitaja hata mimi nimei appreciate kuhusu uimara wa mwanaume