Nitajie matunda matano yasiyokuwa na mbegu!!!

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
864
Reaction score
212
Labda nikupe desa tu
1. Ndizi
2. Nanasi

Endelea?
 
Bibo


hivi kweli hayo ni matunda? sidhani kama ni matunda kwa sababu hayana sifa za kuwa Tunda
 
kituko uko sahihi kbs. Katika biological classification kuna 'true fruits' na 'false fruits'. Ndizi, peasi, nanasi nk yapo katika kundi la false fruits. Tuwe makini na categories hizo. Kwa kundi la kwanza, mbegu za tunda zipo kwenye endocarp (ile nyama ya ndani ya tunda) kama ilivyo chungwa, kwa kundi la pili, vikonyo ama shina ndo mbegu yenyewe.
 
kwa kutumia daikotomas skeli/ki izo mifano zako sio tunda
 
Karoti,nazi,ndizi,nanasi na strawbery
 
tunda la roho ndo halina mbegu.....mengine yote yana mbegu
 
konyagi, valuer, k vant, kiroba na boss
 
konyagi, valuer, k vant, kiroba na boss

Hii ni kwa nini watu mna vichwa vigumu sana kuelewa????!!!!! Sasa unavyoharibu na kuchakachua thread kwa makusudi ni ujinga ama misifa??? Hii ni jukwaa la Elimu na sio chitchat... Mnaharibu Jf jamani.. Sehemu nyingine hebu azimeni u serious kidogo.
 
Hii ni kwa nini watu mna vichwa vigumu sana kuelewa????!!!!! Sasa unavyoharibu na kuchakachua thread kwa makusudi ni ujinga ama misifa??? Hii ni jukwaa la Elimu na sio chitchat... Mnaharibu Jf jamani.. Sehemu nyingine hebu azimeni u serious kidogo.

Nimeingia sipo, nilidhani nipo kule jokes, my SINCERE APOLOGY
 
Mweee humu jf watu mnaakili mpaka nawaogopa..me kwakweli sikuwa na hata jibu maana sikukumbuka hata tunda moja..
 

Nahamu na shauku kubwa kufahamu hayo matunda plz biologist naomba nijuzeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…