Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mohamed Dewji, the only bilionaire in Tanzania.Kibongobongo Kusoma Sana ni kukataa kuwa Bilionea Kwa makusudi
Wasije kukuponza ukaacha shuleAisee inafikirisha Sana
Dk. Reginald MengiKibongobongo Kusoma Sana ni kukataa kuwa Bilionea Kwa makusudi
Sisi wasomi hatuna hela nyingi ila tunaishi Vizuri na watu na hatuna dharau maana tupo civilized EnoughWasije kukuponza ukaacha shule
"College drop out" Usilinganishe na kuacha shule au kuishia form 4 ya kibongo! Drop out ya USA au ulaya unakuta kijana tayari ana maujuzi mengi kama graduate ya UD,Unamaanisha msomi lazima uwe na karatasi ? Anyways hawa ma billionea wengi ni college dropout lakin walidropout sababu waliona shule zinawachelesha kwasababu wao wana maakili mengi kichwani, research zinaonyesha kuwa ili tuseme wewe ni GENIOUS LAZIMA IQ LEVEL YAKO IWE above 140
SOMA IQ ZAO SASA ALAFU TUANZIE HAPO
Billgates 157
Mark Zuckerberg 152
Jeff Bezos 145
Elon 155
hawa wanne tu ambao wapo top ten ya the wealthiest people hapa planet earth NI MA GENIOUS… sasa basi the richest person in the WORLD yeye Ana degree mbili moja ni ya physics na nyingine ni ya economics wakati ya physics aliipata 1992, miaka miwili baadae, 1994 akaipata ya Economics. Tuwa encourage watu wasome mkuu ili tuje kupata viongozi wasomi sio hawa madunduka wanaozingua kila siku…
Unaniambia mimi au jamaa alioleta Mada ? Me mbona hayo nayajua , Ulaya Self reliance wanafundisha ujuzi tofauti bongo self reliance mnaenda kufyeka majani ya uwanja wa mpira, ndio mana nimesema kama they droped lakin jamaa ni ma genious , alafu nikaongeza kabisa kwamba Tajiri namba moja kasoma kabisaa, kasoma physics na kasoma economics lakin cha kushangaza alikuwa anachapa code za c++, hawa wote nlowataja najua wanafanya nini sababu me ni tech enthusiast, na nimesoma pia hayo mambo."College drop out" Usilinganishe na kuacha shule au kuishia form 4 ya kibongo! Drop out ya USA au ulaya unakuta kijana tayari ana maujuzi mengi kama graduate ya UD,
Nimekutana na former American soldiers, wana elimu ndogo tu ya college, lakini wana jua vitu vingi vya technical kama plumbing, painting, umeme, nk
Level ya elimu aliyofikia Mark Zuckerberg, sio sawa na form 4 failure ya kibongo, usijidanganye, Mambo ya programming alikuwa ameishaiva Sana,
Na kwa wenzetu mazingira ni wezeshi sio kama bongo,
Juzi nimesimuliwa jinsi wanaomiriki baa, wanavyolisha midomo mingi, ili wasisumbuliwe,
Police, ofisa maendeleo, nemc,ofisa afya,hapo kila MTU anataka kula.
Okay. Msomi Bilionea bongo Ni yup?"College drop out" Usilinganishe na kuacha shule au kuishia form 4 ya kibongo! Drop out ya USA au ulaya unakuta kijana tayari ana maujuzi mengi kama graduate ya UD,
Nimekutana na former American soldiers, wana elimu ndogo tu ya college, lakini wana jua vitu vingi vya technical kama plumbing, painting, umeme, nk
Level ya elimu aliyofikia Mark Zuckerberg, sio sawa na form 4 failure ya kibongo, usijidanganye, Mambo ya programming alikuwa ameishaiva Sana,
Na kwa wenzetu mazingira ni wezeshi sio kama bongo,
Juzi nimesimuliwa jinsi wanaomiriki baa, wanavyolisha midomo mingi, ili wasisumbuliwe,
Police, ofisa maendeleo, nemc,ofisa afya,hapo kila MTU anataka kula.
Kama unataka kuacha shule, wewe acha tu mkuu. Usitafute sababu.Kibongobongo Kusoma Sana ni kukataa kuwa Bilionea Kwa makusudi
Vipi Bakhresa aliyeacha shule huku nyumbani ingawa yeye ni millionaire"College drop out" Usilinganishe na kuacha shule au kuishia form 4 ya kibongo! Drop out ya USA au ulaya unakuta kijana tayari ana maujuzi mengi kama graduate ya UD,