Nitajie mti wowote usio anzia na herufi "M"

Mninga
Mkongo
Mkaratusi
Mpera
N.K
 
Sikubaliani na wewe ingawa mimi si mtalaamu wa kiswahili, lakini kwa mimea bila kuweka "M", huwezi kupata nomino/jina ya mmea husika. Na ukiondoa "M", utapata jina la zao la huo mmea. Kwa hiyo ili kupata jina la mti husika, ni lazima "M" itangulie kuonyesha kuwa hilo ni jina la mmea, na si zao lake. Kwa mfano, Mkorosho, na Korosho.
 
So now education is........?
 
Waganga hawawezi kuwaacha nyie salama watakula wapii??na mganga ni mwerevu mno kaona huwezi kutaja mf.Mpera ukasema pera maana pera ni zao la mpera.hakika lazima uitoe hiyo laki kama fungu la kumi kwa shetaniiii
 
Gudume uko vizuri..!
 
Mpapai... Mdizi, Mwembe, Mparachichi, Mnazi
 
Ni hii hapa
[emoji736] Mti wa embe
[emoji736] Mti wa chungwa
[emoji736] Mti wa papai
 

Zao la buni linatokana na mti gani mkuu????

Sijaongelea kahawa nimesema buni. Hahahaaa
 
Ibera, Ipapai, Ifenesi, Ipodo, Ichungwa, Inanasi, Ng'inda, mbona kikwetu yapo kibao na ww mtajie kikwenu mana kiswahili kueka m- mwanzo ni kitangulizi tu .
 
Ukiweza nakuandalia zawadi
Altara

Kababu

Hhangumo

Ulula

Albizia

Burkea

Nyamate

Croton

Poyi

Kafinulambasa

Ebony

Utupa

Ngovigovi

Hagenia

Iroko

Loliondo

Afromosia

Tamarind

Viru

Timbui timbui

 
Altara

Kababu

Hhangumo

Ulula

Albizia

Burkea

Nyamate

Croton

Poyi

Kafinulambasa

Ebony

Utupa

Ngovigovi

Hagenia

Iroko

Loliondo

Afromosia

Tamarind

Viru


Timbui timbui
Mkuu hata mimi kwa lugha botany, ningetaja mingi kweli...
Kwa Kiswahili labda hiyo loliondo tree
Mengine yatakuwa kilugha bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] don’t cheat
 
Ibera, Ipapai, Ifenesi, Ipodo, Ichungwa, Inanasi, Ng'inda, mbona kikwetu yapo kibao na ww mtajie kikwenu mana kiswahili kueka m- mwanzo ni kitangulizi tu .

Iki sio kichaga kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1311][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
 
Du.... bado nipo empty..... na sija muona bado wa :-..?? πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Iki sio kichaga kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1311][emoji1373][emoji1373][emoji1373]


Hicho ni Kigweno ambacho kiasili kinatokana na mchanganyiko wa Kichaga na kipare japo Kichaga is dominant and thus Wagweno sio wapare wala wachaga but Intermidiate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…